Saturday, September 24, 2011

Prof. Dzodzi Tsikata mwenye miwani na Tisheti nyeupe kulia akiwa katika Tenti la HAKIARDHI siku ya Kongamano la Jinsia lilofanyika Sept 13 hadi 16 Dar es salaam, waliopo kushoto ni baadhi ya wafanyakazi wa HAKIARDHI. Mezani ni baadhi ya Machapiho ya HAKIARDHI

No comments:

Post a Comment